April 21, 2014

KAKOBE "TANGANYIKA HURU LAZIMA IPATIKANE....NYERERE SIO MUNGU NAYE ALIKUWA NA MAPUNGUFU YAKE"

Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni suala la muda tu thumbnail 1 summary

Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni
suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu
kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna
mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi
kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana
mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea.
Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda
serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi

haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa
kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa leo
katika kanisa la FGBF Dar es salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: