April 19, 2014

JAMAN NYIE ACHENI KUWA MENEJA WA WEMA SEPETU SI MCHEZO NI SHUUGHULI ALISEMA MARTIN KADINDA

MENEJA wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda amekiri kuwa kumsimamia ‘kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu kwani ana tabia ya kubadilika. thumbnail 1 summary
MENEJA wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda amekiri kuwa kumsimamia ‘kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu kwani ana tabia ya kubadilika.

Meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda akiwa na na Staa huyo.
Alisema Wema anahitahi hesabu kwani kuna vitu unaweza kupanga naye lakini akashindwa kutimiza kutokana na hisia zake binafsi.
“Kuna wakati unaweza kumwambia usitoke hadi nikuruhusu lakini cha ajabu unakuja kushtukia mwenzio yupo mtaani jambo ambalo hamkukubaliana, ni ngumu we’ acha tu,” alisema Martin Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: