April 22, 2014

BAADA YA KUA WACHUMBA KWA ZAIDI YA MIAKA 3 SASA JINI KABULA KUOLEWA NA BUSHOKE,

2014 unaweza kua mwaka mzuri kwa mrembo kabula.Mrembo huyo aliye panda hewani kama mwenye undugu na Hasheem Thabeet thumbnail 1 summary


Bushoke-Kabula-vibe-co-tz
2014 unaweza kua mwaka mzuri kwa mrembo kabula.Mrembo huyo aliye panda hewani kama mwenye undugu na Hasheem Thabeet
inaelekea kama mwaka huu utakuwa mzuri sana kwake kwani yale mahusiano yake ya muda mrefu na mpenzi wake Bishoke sasa ndoa inanukia . Vibe ilipomtafuta hewani alikiri kiwepo kwa ndoa hiyo na mpaka sasa mipango iko sawa kabisa”naolewa kwenye mwezi wa saba hivi then tunahamia south ila detail nitatoa pale tu Bushoke atakapo tua nchini”

alisema Kabula. Kabula alipokua  juu sana wakati huo ndani ya tamthilia ya Jumba la dhahabu aliwahi kupata mtoto mmoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: