cha ziada tofauti na wanaume wengine?
Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu
Mi naomba kujua wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo?
Karibuni sana.