10:24
STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameamua kuachia picha adimu akiwa kitandani na kanga moja tu bila chochote kama ishara ya kuwashukuru mashabiki wake kwa sapoti kubwa ambayo wamekuwa wakimpa na kumfanya awe juu kimuziki…
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
No comments
Post a Comment