February 17, 2014

KUMRADHI: TUNAMUOMBA RADHI MKUU WA CHUO CHA CBE

Profesa Emanuel Mjema KUMRADHI Mwandishi wa blog hii anapenda kutumia nafasi hii kuomba samahani kwa makosa ya kiuandishi thumbnail 1 summary

Profesa Emanuel Mjema
KUMRADHI
Mwandishi wa blog hii anapenda kutumia nafasi hii kuomba samahani kwa makosa ya kiuandishi katika kichwa cha habari hii kilichokuwepo kabla

 (AIBU KUBWA...KASHFA YA NGONO CBE...HUYU NDIO PROFESA ALIYETIMULIWA KAZI KWA KUJIHUSISHA NA NGONO NA WANAFUNZI ) 

AMBACHO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KILILETA MKANGANYIKO..KWA HESHIMA NA TAADHIMA TUNAMUOMBA RADHI MKUU WA CHUO CHA CBE NDUGU PROFESA EMMANUEL MJEMA(PICHANI) AMBAYE PICHA YAKE ILITUMIKA KATIKA HABARI HIYO NA KULETA HISIA TOFAUTI KWA MSOMAJI KABLA HAJAISOMA HABARI.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: