Zile tetesi zilizoanzishwa na Team Chaggabarbie kuwa Diva na Msanii anaeunda kundi la East Cost tema GK zimekuwa na ukweli kwani diva ameamua kuvunja ukimya na kuweka kila kitu wazi kabisaaaaa kuhusu penzi hilo..... Diva alipost picha hiyo hapo juu kisha kuweka maneno haya kama caption ya Picha hiyo.
February 11, 2014
KUMBE DIVA WA CLOUDS ANAMAHUSIANO YA KIMAPENZI NA KING CRAZY GK
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments
Post a Comment