January 06, 2014

Upinzani Rwanda wailaumu serikali kwa kifo cha Karegeya

Viongozi wa vyama vya upinzani Rwanda wanamlaumu Rais Paul Kagame kwa kifo cha mkuu wa zamani wa upelelezi ambaye inael... thumbnail 1 summary

68654D4A-F44A-4749-8ED1-F83CA172B90B w640 r1 s cx0 cy17 cw01 e3899
Viongozi wa vyama vya upinzani Rwanda wanamlaumu Rais Paul Kagame kwa kifo cha mkuu wa zamani wa upelelezi ambaye inaelekea amekabwa kwenye hoteli moja Afrika Kusini. (HM)

Wachunguzi wanasema mkuu huyo wa zamani wa usalama
Patrick Karegeya alikutwa amekufa katika hoteli moja ya hali ya juu huko Johanesburg.
Akizungumza na Sauti ya Amerika mkuu wa zamani wa jeshi la Rwanda Jenerali Kayumba Nyamwasa amesema kwamba mtu aliyemwita hotelini hapo walikuwa wakifahamiana na alikuwa rafiki yake alipokuwa Rwanda na ni mtu aliyemwamini. Chanzo: voaswahili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments