January 16, 2014

""NATAFUTA MCHUMBA WA KUNIOA"" HAYA SASA WADAU CHANGAMKENI HAPA

Mimi ni Msichana wa Miaka 28 , Niko Dar kwa Sasa ila Nimeishi Nje ya Nchi kwa Muda mrefu kwa sasa Nimeamua kurudi Ta... thumbnail 1 summary


Mimi ni Msichana wa Miaka 28 , Niko Dar kwa Sasa ila Nimeishi Nje ya Nchi kwa Muda mrefu kwa sasa Nimeamua kurudi Tanzania Kutafuta Maisha na Kuolewa Huku Kama Mungu Akijalia ..Nipo Series Natafuta rafiki ambae atakuja kuwa mchumba na mume wa ndoa ....

SIFA ZA MTU NIMTAKAYE:
1.KABILA:lolote lile 2.DINI:awe mkristo na mcha mungu dhehebu lolote kasolo wasabato wasiombe. 3.ELIMU:awe na advance diploma na kuendelea 4.KAZI:Awe ameajiriwa selikalini au private organazation yeyote 5.Asiwe anakunywa pombe wala kuvuta sigara 6.Urefu at least sentmita 158 hadi 167 (ikizidi au kupungua kidogo hapo siyo tatizo) 7.Awe maji ya kunde au mweusi,mweupe kidogo haina shida 8.Awe mcheshi,mtaratibu,smart na presentable 9.Awe tayari kupima na lengo la kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja tu ikizidi basi mwaka na miezi 3 10.Awe anaishi mikoa ifuatayo ili iwe rahisi kuonana kwa ajili ya kufahamiana tu MOROGORO,DODOMA,PWANI NA DAR ES SALAM. KWA ALIYE SERIOUS NA MWENYE VIGEZO TAJWA HAPO JUU  ATUMIE EMAIL HII  saiyaethan290@gmail.com or weka number ya simu na maelezo yako kidogo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments