January 04, 2014

MAKUBWAAAA..!!!! SHOGA ATISHIA KUVUNJA NDOA YANGU..NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE???

Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa ana tabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki. thumbnail 1 summary


Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa ana tabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.
Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku. Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba. Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo sihuwezi kabisa..
Msaada please nimuepuke huyu jamaa..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments